SUMU INAYOWAMALIZA WANAFUNZI VYUONI
Mahusiano ya kimapenzi huhusisha sana watu wa umri mdogo hadi wa kati. Kutokana na kubadilika kwa ya hali ya kimaisha mahusiano haya yamechanganisha vijana wadogo na watu wa umri mkubwa wa hadi miaka zaidi ya hamsini. Asilimia kubwa ya watu duniani kote wapo kwenye mahusiano au wamewahi kujikuta kwenye mahusiano ya kimapenzi. Wengi hujiuliza mpenzi ni mtu wa aina gani na mapenzi haswa huendelezwaje? Mpenzi ni yule atakayekuonyesha upendo wa dhati. Kulingana na mwanafalsafa Jhidhu Krishna Marti binadamu kwenye mahusiano huongozwa na matamanio na msimamo wake huwa ni wa kibinafsi zaidi. Binadamu atakupenda ikiwa tu utatimiza mahitaji yake, kama humtimizii anachokihitaji basi kamwe haezi kukupenda.
Vijana wengi kwenye vyuo vikuu kote nchini wamejitosa kwenye mapenzi wengi wao wakiwa na matumaini ya kuoana baadaye na baadhi yao wakiyachukulia mahusiano kama hali ya kujiliwaza na kufurahisha nafsi zao. Watafiti wanasema unapopenda zaidi hua si rahisi kujinasua, ni kama mtego.
Mahusiano ya wanafunzi wa vyuo vikuu huzongwa na mabonde mengi yasiyopandika wala kuteremkia ikiweno usaliti na kutotimiza wajibu kama mpenzi. Hali hii husababisha msongo wa mawazo miongoni mwa wanafunzi na kuwapelekea wengi wao kujitosa kwenye matumizi ya madawa ya kulevya na wengine kufanya vitendo vya ajabu kama kujitoa uhau. Wengine watalalamikia msongo wa mawazo na kuwasababishia kudhoofika kiafya na hata kuathiri shughuli zao za kawaida.
Wito unazidi kutolewa na wanafalsafa na washauri wa mahusiano ya kimapenzi, endapo utajipata kwenye hali kama hii kutendwa au kusalitiwa unashauriwa kukubali yalikujiri na kuanza kusonga mbele. Pia unashauriwa kutafuta ushauri ili kukupunguzia mzigo huu.



Wazii jeshi๐คฃ๐คฃ
ReplyDeleteNjuri kamanda
ReplyDeleteNice article brother
ReplyDeleteNakala safi kaka๐๐๐
ReplyDeleteGood job
ReplyDeleteUkweli mtupu mapenzi nikama mtego tu hukushika hadi wakati mwingine hujatarajia daahh
ReplyDelete๐๐this one though. Good job
ReplyDeleteKiswahili kitukuzwe๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฏ
ReplyDeleteAnasa ๐
ReplyDeleteNice article
ReplyDelete๐ Mswazi Wetu ๐ฅ๐ฅ
ReplyDeleteKiongozi men deserve something ๐๐
ReplyDelete๐คฃ๐คฃ
DeleteThis is hilarious ๐คฃ๐คฃ๐ฅ๐ฅ
ReplyDeleteMapenzi hayataki haraka!
ReplyDelete๐๐๐
ReplyDeleteKazi swafi kabusa๐ฅ
ReplyDeleteKweli kabisaa ๐๐ฏ
ReplyDeleteMapenzi hutufunza mengi jamani
ReplyDeleteUkweli mtupu๐ฏ๐ฏ
ReplyDeleteUkweli wa mambo
ReplyDeletekazi nzuri๐๐
ReplyDeleteUkweli mtupu
ReplyDeleteKaka nakuaminia since day one
ReplyDeleteAu sio ๐๐
DeleteUkweli mtupu
ReplyDeleteFacts
ReplyDeleteNakala nzuri
ReplyDeleteNakubaliana nawe kakangu
ReplyDeleteKazi nzurii hiii
ReplyDeleteKazi safi kaka
ReplyDeleteGreat
ReplyDeleteGood
ReplyDeleteAki mapenzi wewe!
ReplyDeleteImpressive article keep it up
ReplyDeleteGreat article ๐
ReplyDeleteKazi Safi
ReplyDeleteNice work
ReplyDeleteUkweli uchungu๐
ReplyDeleteBilashaka
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteNyc bro
ReplyDeleteHakuna mapenzi ya shuleni na Kama ipo, ni moja kati ya mamilioni. Kazi safi bro
ReplyDelete